Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo tarehe ni za watata Excel
Me pia January, kati ya 20 na 29. cheeter nae anahusika. Pamoja na viol, mchajikobe, pelani, kufikirika, Yegoo, ngofa, Angelicious, leonk, leencolman, Benzoic, Phenomenal, Redrose20, tycoonff, mhimidinhothedon, nkululeko, Preta, la cezz, Queen Kan, St. Paka Mweusi, FirstLady1, DullyJr, Ako Kwaang, Kiranga, Malaika mimiBabuuuu...then siku 7 baadaye mjukuu mtiifu nikazaliwa...28/01.
Dah! Sijaona hata mwenye tarehe yangu haki ya nani!
umeona eeh.............tarehe hizi hapa tuko romantic wadada wanajigonganiaje mkuu.. nimekuona bana, born date mate wangu.. hahahaaa!!
goodmorning!
May baby na wewe sio?
Nipo mimi bibie,karibu tuungane malkia.
mmm! Embu weka tarehe hapo nione!
June 19.
Mpaka sasa sijapata mwenzangu. Huyu anaweza kuwa jirani yangu tu! Mie june 20
Preta itabidi tuunganishe bday tufanye pamoja ,hii itakuwa ya kufunga JF kabisaAhaaaaa.......ule mwezi wetu wa kijanja ndio huu eeeh.......hii inabidi kumbukumbu iwepo........
Cc.... FirstLady1