Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Bingo!!!!!!!!!

Mentor kuja pande hii ufanye upembuzi yakinifu. Yale mambo yetu nashindwa yaelewa kwa huyu pacha wa babu. Yuu knoo woram seyyying???

Heheheheh hapo nimekuacha! mimi niko bize na mai twini Preta...

Halafu babu nahisi ulilifahamu hili ila hukutaka kuniambia nimekuachia kina Munkari et al...siku hiyo itakuwa mimi na pachaa ngu TU!

ooow oooow........kumbe Mentor ni pacha wangu........tar 28/01 ndio kamanda nilitua.......night kali mbaya kabisa........

PRETA.jpg
PRETA.jpg

TWIN hebu kam zis wei tubonge...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sisi hao......hakyamama sijawahi kukutana na pacha wangu......he!....ni kweli......?

Unajua hata mimi siamini nimeshituka kama hao mapacha kwa hii pic!

Habari za Yaeda chini pacha!?? Lini unahamia Yaeda juu maana huko mafuriko yasijekupitia!!!
 
My twin kwa sasa nipo Mongolia......cc Dr watu8.......nina mpango wa kuhamia Handajega siku za karibuni.......karibu nyumbani twin......
 
Last edited by a moderator:
My twin kwa sasa nipo Mongolia......cc Dr watu8.......nina mpango wa kuhamia Handajega siku za karibuni.......karibu nyumbani twin......

WTH!???? ndo wapi huko.

unajua kuna sredi ya zamani nilisoma inasema wewe ni al-shabaab....😛ray:
 
Heheheheh hapo nimekuacha! mimi niko bize na mai twini Preta...

Halafu babu nahisi ulilifahamu hili ila hukutaka kuniambia nimekuachia kina Munkari et al...siku hiyo itakuwa mimi na pachaa ngu TU!

View attachment 132875
View attachment 132875

TWIN hebu kam zis wei tubonge...

Hivi Munkari naye ni wa January? Hebu acha longolongo fanya uFBI ujue jinsia ya pacha wangu. Chapchap sana.

Sasa we naona unataka dadangu ambaye ni pacha wako Preta akubemende???
 
Last edited by a moderator:
Hivi Munkari naye ni wa January? Hebu acha longolongo fanya uFBI ujue jinsia ya pacha wangu. Chapchap sana.

Sasa we naona unataka dadangu ambaye ni pacha wako Preta akubemende???

Wacha wivu na pacha angu udada umeutoa wapi banaa.
Nenda kwa pachaako mwenye jina ka nanii!!!lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom