Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Sijui ndo ujamaa. Haya Mimi 18 November na mwaka kabisa ni 88. Hii special tutaftane
 
shansarie nikupe mchumba? Inabidi umlee kwanza lakini.



25 November. . . Linamo umeshampata pacha hapa, mwaka huu andaa keki mimi ntakuja na juice!

Nimefurahije....maana nishahisi nimezaliwa mwenyewe maana nimetafuta mpaka nimemaliza comment zote....Karibu ma dear....
 
Last edited by a moderator:
Hii Tarehe 11/08 inaelekea nipo peke yangu tu. Sijampata pacha wangu up to now. Let me wait may be atapatikana.
 
Duh kuna mtu asema hajaoa tarehe zake ss namshauri akapime ujauzito
 
Back
Top Bottom