Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji482] pamojaHappy birthday Da Jolieeee
Ishi miaka mingi Mrs Hazard [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Happy birthday mama malcom lumumbaHeri yake ya kuzaliwa,
Naona amezaliwa siku moja na Mama yake Malcom Lumumba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Happy birthday JJ totoo
Kifaranga wako wa pembeni Da'Vinci
[Ur side Chick Da'Vinci]
Waombee wadumuHappy Birthday JJ
Uishi maisha marefu
Nimekufahamu kwa muda mfupi sana wewe na harzard
You guys are a blessing.
Hongera
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Naomba picha yake nimuweke dp watsap.
Maisha ni kukutana na kuachana bro [emoji1]Waombee wadumu
Shukran mkuu...nadhan atakuja kureplay asubuhi,upopo hauwezi yuleHappy Birthday JJ
Uishi maisha marefu
kwa muda mfupi sana ambao nimekufahamu wewe na harzard i can simply say
You guys are a blessing.
Am proud to know y'all
Hongera JJ
Nahitaji picha kuonesha ukaribu zaidi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We mpe tu birthday inatosha
Wasiojulikana...Naomba picha yake nimuweke dp watsap.
AtakujaHepi bethi dei Mrembo Jolie Jolie
Mungu akujalie uishi miaka mingi kadri ya mapenzi yake
Hao wakae mbali na JJ wetuWasiojulikana...
AaaahNahitaji picha kuonesha ukaribu zaidi.
Tena kuna mahali nitamuita aje achukue zawad yake ya b day