Happy birthday Jolie Jolie

Hahahah
Mwakani lazma ziwepo zote mbili hapo namuunga mkono

Juzi alikuwa anataka Madrid itoke, alifume kishenzi [emoji1]
Haa haa haa hapo kama
Unamuunga mkono me nawapa

Nyie wote makonde haa haa
Lazma Gunners tubebe Europe na
Tuende UEFA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hapo kwa Madrid hata mm nlikua
Namuunga mkono
 
Haa haa haa hapo kama
Unamuunga mkono me nawapa

Nyie wote makonde haa haa
Lazma Gunners tubebe Europe na
Tuende UEFA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hapo kwa Madrid hata mm nlikua
Namuunga mkono
Hahaha
Hapana wengerout, mfungwe ili mbadilishe kocha.

Kwa madrid uliniambia na wewe najua ilikuuma
 
Haa haa haa hapo kama
Unamuunga mkono me nawapa

Nyie wote makonde haa haa
Lazma Gunners tubebe Europe na
Tuende UEFA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hapo kwa Madrid hata mm nlikua
Namuunga mkono
Hahaha beki zinazokabana na kina ronaldo na messi na bado hawafurukuti...ngoja tuone zikipitwa na welbeck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…