Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Asante shoga[emoji178][emoji179]Happy birthday Jolie Jolie roho yake mzee wa chelsea Mungu akubariki zaidi katika maisha yako na kukuondolea mabaya yote nawapenda mimi
Shemeji huyo alikua abasumbuliwa na usingiziKhaaa ili iweje sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdomo wangu umebaki wazi comrade
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti yupi tenaEbu acha kumwibia binti wa watu jamani
Thank u so much Mumu ake MillerOoh,.happy birthday beautiful,. Mungu akupe haja za moyo wako.
HBD.
Pamoja kiongozhazard cfc kuanzia usiku huu tembea kifua mberee. Umebahatika kumpata mrembo kama huyu ndani ya msitu wa jf wenye prey wa kila6 aina.
Salute sana.
Napenda kuona siku zote mkiwa kwenye lait track.
Happy g day wansi ageini Jj
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Kama mwaka huu ndio kavurgwa kwel kwel tunashukuru kwa kuwa naye
[emoji173] [emoji173] twakupenda piaHappy birthday Jolie Jolie roho yake mzee wa chelsea Mungu akubariki zaidi katika maisha yako na kukuondolea mabaya yote nawapenda mimi
Hahahaha
Kama mwaka huu ndio kavurgwa kwel kwel tunashukuru kwa kuwa naye
Umefuraaaahi[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Thank u so much Jose,be blessedEvery year seems like the beginning of our friendship and it never gets old. Even as you are celebrating your birthday again today, it seems like we are just beginning. Happy birthday, friend.
Asante usser wangu weHappy birthday jj katoto
Kathury maisha mema
Na baraka tele
Aiseee sana yan nmeangaliaUmefuraaaahi[emoji23]
Ila cjapata mwaliko wa kekAsante usser wangu we
Unamcheka bby wangu eeeAiseee sana yan nmeangalia
Table ya EPL nkabak tu nacheka
Keki haina mwaliko yani we ukuje tyuIla cjapata mwaliko wa kek
Team April mnafujooHappy bday Jolie Jolie aka omwana
Mungu akujaalie maisha marefu yenye afya na furaha tele
#teamapril#