Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Amenikera kwenye hiyo nguo ya juu yenye herufi MOktoba 21,1980 alizaliwa mwanamuziki ambaye ni mmoja wa waasisi wa bongo fleva, Juma Kasim 'Nature'. Juma Nature ni mwanamziki bora sana wa wakati wake ambaye anapendwa kwa wapenzi wote wa muziki wa bongo fleva waliomjua na wanaomjua
Juma Nature alitamba na nyimbo kama Hakuna kulala, Mzee wa busara, Ugali, Mugambo, Mtoto Iddi na nyingine nyingi sana.
View attachment 613704
Happy Birthday "Kibra Matata" Juma Kassimu Nature
Ukitaka kujua watu wanachuki binafsi kwa mond, yeye tu ndiye uwa analaumiwa kusupport ccm huwezi kuta wale wanaonlaumu mond wakisema hilo juu ya nature.Amenikera kwenye hiyo nguo ya juu yenye herufi M
Nimemdharau sana.
majani alikuwa anampatia sana kwakweli...ilikuwa perfect combo!! Happy birthday Jumaa kiroboto kibra matata a.k.a msitu wa vinaaaaKibra Matata jamaaa alikua noma Sana sema Pfunk majani alikua akimpatia.
Hiyo si picha tu, unafikiri huyo ni fukara kama wengine. Ana vitega uchumi kibao ila ni msiri mnoDuuuuuh huyu jamaa sikuhizi kawa muuza kahawa, haya maisha haya