Happy birthday Juma Kassimu 'Nature' mkongwe wa bongo fleva

Happy birthday Juma Kassimu 'Nature' mkongwe wa bongo fleva

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Oktoba 21,1980 alizaliwa mwanamuziki ambaye ni mmoja wa waasisi wa bongo fleva, Juma Kasim 'Nature'. Juma Nature ni mwanamziki bora sana wa wakati wake ambaye anapendwa kwa wapenzi wote wa muziki wa bongo fleva waliomjua na wanaomjua

Juma Nature alitamba na nyimbo kama Hakuna kulala, Mzee wa busara, Ugali, Mugambo, Mtoto Iddi na nyingine nyingi sana.

juma nature.jpg

Happy Birthday "Kibra Matata" Juma Kassimu Nature
 
Happy birthday msitu wa vina,for skills gangster,mlume ndago,mchuja nafaka.
 
Kibra Matata jamaaa alikua noma Sana sema Pfunk majani alikua akimpatia.
 
Oktoba 21,1980 alizaliwa mwanamuziki ambaye ni mmoja wa waasisi wa bongo fleva, Juma Kasim 'Nature'. Juma Nature ni mwanamziki bora sana wa wakati wake ambaye anapendwa kwa wapenzi wote wa muziki wa bongo fleva waliomjua na wanaomjua

Juma Nature alitamba na nyimbo kama Hakuna kulala, Mzee wa busara, Ugali, Mugambo, Mtoto Iddi na nyingine nyingi sana.

View attachment 613704

Happy Birthday "Kibra Matata" Juma Kassimu Nature
Amenikera kwenye hiyo nguo ya juu yenye herufi M

Nimemdharau sana.
 
Amenikera kwenye hiyo nguo ya juu yenye herufi M

Nimemdharau sana.
Ukitaka kujua watu wanachuki binafsi kwa mond, yeye tu ndiye uwa analaumiwa kusupport ccm huwezi kuta wale wanaonlaumu mond wakisema hilo juu ya nature.
And mond hajawahi vaa nguo za kijani
Happy bday kiroboto...
Ya leo kali
Inaniuma sana
Mzee wa busara
Hili game
Muungano wa ccm na cuf
 
Duuuuuh huyu jamaa sikuhizi kawa muuza kahawa, haya maisha haya
 
Sasa kusoma baasi
Si afadhali daftari niende nakatungie verse
Maana mi nashangaa kila mwalimu akija swali naulizwa mimi
Nb hbd nature
 
Huyu Kijana alisababisha Last born wangu akatae Shule kutokana na ujinga wa kupenda Music

Alikuwa Form two 2001 akakataa ku rudia mtihani wa kidato cha pili baada ya kufeli vibaya sana, Chumba chao alikuwa kajaza vipande vya gazeti vyenye pich za huyu Kichaa na kuzibandika ukutani
 
Back
Top Bottom