Happy Birthday Kabanga

Happy Birthday Kabanga

Kaka mkubw ana wewe umo kumbe
Happy Birthday kabanga
Mungu akupe maisha marefu na yenye amani na furaha na miaka yako ikawe ya baraka
Hongera sana kwa siku yako hii mkuu
cc mshana jr, MO11, Tized, BAK

hivi mpandisha uzi mliachania wapi?
tendency yake ya kufill magep ya Dena Amsi bado ni constant?
......nauliza tu!!
 
Last edited by a moderator:
hivi mpandisha uzi mliachania wapi?
tendency yake ya kufill magep ya Dena Amsi bado ni constant?
......nauliza tu!!

Wacha tuu siku hizi kanitosa kabisa anadai nimeishiwa anatafta mpango mwingine wenye pesa bana
hata wewe ukiwa vizur nenda juu jishike hapo
Cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Kabanga Mungu akupe maisha marefu na hekima
 
Back
Top Bottom