Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
happy birth day my teacher Mungu akupe maisha mema...
hivi mpandisha uzi mliachania wapi?
tendency yake ya kufill magep ya Dena Amsi bado ni constant?
......nauliza tu!!
Wacha tuu siku hizi kanitosa kabisa anadai nimeishiwa anatafta mpango mwingine wenye pesa bana
hata wewe ukiwa vizur nenda juu jishike hapo
Cc miss chagga
ha ha ha miss chagga njoo tujishike..
natafuta definition ya neno "dada mpenzi"...
Ha ha ha unahela wewe?
Unaniuliza au unamuuliza dada mpenzi miss chagga....? kiwatengu!!!
naitafuta mwenyewe!!
janeth.!!!