Happy Birthday Kabanga

Happy Birthday Kabanga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,811
Reaction score
49,053
HAPPY BIRTHDAY TO U KAKA MPENZI kabanga

Mungu akupe maisha marefu yenye fanaka ...

na akupe kiu ya kutafuta pesa na kunipa mimi..

tukutane jion chei chei bar kuna keki yako pale.....
. 8202618_f520.jpg
 
Ujaaliwe maisha marefu ya afya na amani kaka kabanga
 
Last edited by a moderator:
Happy Birth Day kabanga Honestly, Kabanga is my favourist JF User
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday, ila wishes za mdogo wako ni kali zaidi, ati utelekeze familia umpe yeye?
 
Back
Top Bottom