Happy birthday kaka yangu Paka Mweusi

Happy birthday kaka yangu Paka Mweusi

LD

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
3,014
Reaction score
578
Salamu kwako PM,

Nakupongeza kwa kutimiza miaka kadhaa, Mungu akubariki, akulinde, na azidi kukutunza.

Nakutakia maisha marefu yenye baraka na mafanikio,
Mungu akujalie uwaone watoto wa watoto wako.

UBARIKIWE
 
Happy Birthday Paka Mweusi, nakutaikia maisha marehe marefu....
 
Enjoy ur day Paka :smile-big::smile-big: ukinihitaji ni PM lol:smile-big::smile-big:
 
Paka, mama yako angevumilia kidogo tu tungekuwa tumezaliwa tarehe moja.

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa!
 
Angalizo:
Some guys have been confusing btn Paka Mweusi & PakaJimmy!...He is SINLGE , while iam ENGAGED!...Ha ha haaaa!

PakaMweusi, HAPPY bIRTHDAY TO YOU broda..and care-less about your age...Its just figures!
 
Happy Birthday sweet pie Paka Mweusi.....have a blast
 
happy birthday to you, happy birthday to you.... Happy birthday dear paka mweusi, happy birthday to youuuu.
 
Happy Birthday Bro! Take care!! 😛lane:
 
happy_birthday_flower_glitters.gif
 
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa ukue hadi miaka 1000
 
Back
Top Bottom