Happy Birthday Khantwe

Mke mwenza bado sijachelewa.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi, mwenye enzi akupe uhai mrefu wenye siha njema na baraka nyingiiiii.

Ila usimfiche Kaboom hivyo jamani, kula mbakishie mama.

[emoji253][emoji485][emoji513][emoji813][emoji813]
 
Nataka keki[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Mke mwenza bado sijachelewa.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi, mwenye enzi akupe uhai mrefu wenye siha njema na baraka nyingiiiii.

Ila usimfiche Kaboom hivyo jamani, kula mbakishie mama.

[emoji253][emoji485][emoji513][emoji813][emoji813]
Asante mwenza. Huyo Kaboom nna mwaka sijamuona mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…