Happy Birthday Khantwe

Happy Birthday Khantwe

Wow.. Am speechless. Asante mdogo wangu sio kwa speech hiyo ya kunitia moyo, umenifanya nijione special kweli leo haha.
Naomba pia nichukue nafasi hii kumtakia heri ya kuzaliwa my one and only kaka here in Jf MO11. Mungu akupe maisha mema yaliyo marefu.
Pacha wangu RRONDO happy birthday to you
Thanks twin....HBD to you too Twin.
 
bila sister yangu Khantwe kwa kweli nilikuwa nishajisahau
na wewe chaliifrancisco maneno yote haya kumuandikia dada yangu ili iweje acha zako wewe

Mzigua90 mi nipo singo siku hizi hapa nakuwinda wewe tu
wewe unaniita shemeji sijui kwa nani

oyaaa weee kwa aibu zangu zote leo nimezaliwa

happy birthday to us
mh RRONDO sister Khantwe and me
Thanks twin...HBD to you too.
 
haka ka chaliifrancisco hakataki kuja kujitambulisha kwa hiyo mwambie akitaka maziwa lazima afuge ng'ombe
mambo ya nini nifuge ng'ombe wakati nataka maziwa tu hapa haipo
nipo siriazi sana

Hili tutaliongea baadae
Hahaha.. Mimi masai bana utapata ng'ombe zakutosha
 
Back
Top Bottom