Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #121
Duh, huyu dada yangu sikujua kama nae ni mtu wa michepuko ndio unaniibia siri leo. Ubaya ni kuwa hajawahi kunitambulisha sijui ndio anaogopa nitamsema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, huyu dada yangu sikujua kama nae ni mtu wa michepuko ndio unaniibia siri leo. Ubaya ni kuwa hajawahi kunitambulisha sijui ndio anaogopa nitamsema
Haha na ukome kutujua kama umemuacha kaka yangu huku unampenda ndio imekula kwako
Duh, huyu dada yangu sikujua kama nae ni mtu wa michepuko ndio unaniibia siri leo. Ubaya ni kuwa hajawahi kunitambulisha sijui ndio anaogopa nitamsema
Mkikutana mwambie tu mahari niione sio atoroshwe kienyejiWe subiri utakaetambulishwa ndio huyo huyo, kwasasa subiri kidogo dada yako azeeke.
Mkikutana mwambie tu mahari niione sio atoroshwe kienyeji
Uko chupa ya ngapi? Mie shawakoma kabisaaaa wifi.
Acha kunichafulia CV we mwanamke
Chupa ya nini chai nilishakunywa asubuhi mie
Haha umeshindikana
chaliifrancisco huyo espy mkubwa kwangu aisee..ningekuwa wake mimi ningekuwa naitwa kibentenEspy wewe ni mwenza wake na Khantwe kwa Joseverest ?
[emoji23][emoji23][emoji23] haiko mbaya mradi upendo tu jombaa
kiben10 sijazoea kufungiwa ndani[emoji23][emoji23][emoji23] haiko mbaya mradi upendo tu jombaa
pamoja na hayo nimekupenda wewe tuHehehe mbona espy mimi mdogo wangu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]kiben10 sijazoea kufungiwa ndani
Wa nini? [emoji23]Daaah mpk nmeona wivu
Joseverest alivyomwita[emoji3]Wa nini? [emoji23]
Happy birthday Joseverest - JamiiForumsWa nini? [emoji23]