Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joseverest alivyomwita[emoji3]
babyshem unajua mwenyewe ulichofanya, saa hizi tungekuwa kama wale ..basi tuuuDaaah mpk nmeona wivu
Penzi ni kikohozi huwezi kulificha![emoji30][emoji30][emoji30]Nyooo
Wivu wa nini mamaa au unataka kunilipia kisasi nilivyokubebea Ivuga?Daaah mpk nmeona wivu
Kwendraaaababyshem unajua mwenyewe ulichofanya, saa hizi tungekuwa kama wale ..basi tuuu
Ww nawe ebu tuliaPenzi ni kikohozi huwezi kulificha![emoji30][emoji30][emoji30]
Wala mamaaa me sina kisasi hao wote wachukueWivu wa nini mamaa au unataka kunilipia kisasi nilivyokubebea Ivuga?
Unajua ulichofanya sasa hivi mngekuwa kama wale!![emoji30][emoji30][emoji30]Ww nawe ebu tulia
Mwanaume wa dar kwenye ubora wake wa umbeaUnajua ulichofanya sasa hivi mngekuwa kama wale!![emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji30][emoji30][emoji30]Mwanaume wa dar kwenye ubora wake wa umbea
UmetishaaaWala mamaaa me sina kisasi hao wote wachukue
Nakuona nakuonaaUmetishaaa
Nimejifanya kama najikunaNakuona nakuonaa
Daah ahsante sana rafiki umeurudisha huu uzi watu watajua mpya waanze kunirushia mawe
Ahsante sanaLeo nilikaa nikawaza, hivi hii belated ina deadline?
Ahsante sana