- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Epi besdei boss wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana mkuu wangu!Epi besdei boss wangu
Thanx Man!![]()
Leave longer men!
Pamoja kamanda! Hahaha uzee tabu!happy birthday nakutakia maisha mafupi tu ya miaka 93 usije ukasumbua wajukuu....
Hivi bday bado inaendelea mbona nimezuiwa kuingia ndaniPamoja kamanda! Hahaha uzee tabu!
Khaaaaaaa!!!!! Kimey mbona nimeambiwa wewe ni teenagerPamoja kamanda! Hahaha uzee tabu!
Ahsante sana bi dada Belinda!Heri ya siku ya kuzaliwa Kimey!!..Have a blast!!!
Boss Tineja lolKhaaaaaaa!!!!! Kimey mbona nimeambiwa wewe ni teenager
Ahsante sana bi dada Belinda!
Kule mndenyi tunajibu Aika Mae!huku Yaeda tunasema......Zhù n? sh?ngrì kuàilè.......:hug:
Hahaha thanx for the wishes!happy birthday.
Uishi maisha marefu yenye furaha.
Uzeeke hadi tuwe tunakuanika juani.
why? preta why?huku Yaeda tunasema......Zhù nǐ shēngrì kuàilè.......:hug: