Happy birthday kimey!

Happy birthday kimey!

hihihi.....najua umenimic sana beb.....najua kabisa

yaani sikuona hata samani ya kuwa na laptopu bila wewe, asavali leo nitapiga mswaki yaani sikuona hata sababu ya kukoga bila wewe. dah! niongezee limbwata limeanza kuisha
 
Happy Birthday i hope its not late.
 
Hivi kumbe kulikuwa na Sikukuu ya kuzaliwa Mpendwa hapa?? Hizi semina za kanisa zimenikosesha mengi jamani

Happy Belated Birthday Kimey.... Ukue kwa Kimo na Upeo wa kumjua Mungu

Ubarikiwe sana
 
Hivi kumbe kulikuwa na Sikukuu ya kuzaliwa Mpendwa hapa?? Hizi semina za kanisa zimenikosesha mengi jamani

Happy Belated Birthday Kimey.... Ukue kwa Kimo na Upeo wa kumjua Mungu

Ubarikiwe sana

Sista gabriela had been missed by the st...........
 
Yaaaaaaaaaaawwwwnnnn!

Birthday inendelea?
 
Back
Top Bottom