Happy birthday kimey!

Happy birthday kimey!

no way!...

lakin i am warning you,not to temper with ''maslahi yangu'',if you temper with it anyhow...I WILL REVENGE

achana na kutemper na matemper ao
utakuja lunch leo?
hp so.
 
Thanx mkuu! Ishu ya keke mzee wa logistic The Finest atatuhabarisha!

hiki nahisi kitakuwa kimbwa kilaini sana spesho kwa mishkaki, hivi hujaenda tu kuvichukua stendi rose ashatuma toka jana tupo tunasubiri tuandae.
 
Hommie bi mkubwa kutoka kule naye anakutakia bday njema amesema nikufikishie salamu zake kwako
 
Back
Top Bottom