Happy birthday kimey!

Happy birthday kimey!

Yaani kama ule mpira usingegonga posti, Chelsii tungewatafuna mbili bila!

:clap2::clap2:

RIP Torres!!
 
Dalili niliziona tokea mwanzoni haiwezekani mara hii kachanga haka kameishaanza kuimba mashairi ya wabana pua wa Bongo Flava

ndo maana nakupenda maana unaonaga beyond the wall!basi ambia yule mleta zawadi amtumie zawadi itakayoendana nae
 
Yaani kama ule mpira usingegonga posti, Chelsii tungewatafuna mbili bila!

:clap2::clap2:

RIP Torres!!

big braza tafadhali na mpira wako,usiniumizie kachanga eee kasije anza kulia,,lol
 
Jamani hapa mnazungumzia nini jamani...
 
wow!at last mylove!ur voice means a lot u know!nimekumiss mbayaaaaaa

And you know where to find me, dont you my love?

Here waiting....dont forget some red flowers OK?
 
Jamani hapa mnazungumzia nini jamani...

Heh bado inaendelea tu, mbona tena naona huyu mzee wa kukagua anaita watu switie, sijui darling, ndo besidei hiyo au?
 
Heh bado inaendelea tu, mbona tena naona huyu mzee wa kukagua anaita watu switie, sijui darling, ndo besidei hiyo au?

Mwenye birthday yake anapoikimbia thread yake, hii si sababu ya kukutana kujadili jinsi mpira unavyoweza kuharibu social life za watu?
 
And you know where to find me, dont you my love?

Here waiting....dont forget some red flowers OK?

oryt mylove,ryt on myway with flowers lkn nikukute mwenyewe ryt?
 
Back
Top Bottom