Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Ha ha ha sawa mkuuMapenzi huwa ya kijinga sana. Huwa nikikumbuka huwa nacheka
Asante Mungu kwa kunikutanisha na wewe.
Simu muda wote, i love you kila saa. Sijui uniote
Siku hiyo sasa. Unatuma meseji inachukua mpk masaa 4 kujibiwa wakati ule ilikuwa dk 1 ishajibiwa.
Si ulisema unanipenda sana, shida nini?
Sikiliza
New couple by Nandy
Inshallah.....tuombeane kheriHongera sana. HBD kwake
Ila inabidi mfanye chap muoane km bado isije shetani akaingia hapo kati kati
Nilikuwa napenda sana hii Couple ya Smart na Mahondaw lkn ilisharest in peace
Punguza stressshenziii
Kwa sasa haipo kwenye calenda yetu maybe ni agenda ifuatayoMtaachana tu, maybe not today or tomorrow but mtaachana tu
Ilimradi tuIla watu si muwish tu mengine yaacheni
Happy birthday kingsman
Na iwe hivyo,asante kwaniabaNew couple [emoji41]mfike mbali zaid ya smart na mahandow
heri ya kuzaliwa Mkuu
Sante kwaniabaSijui nikikukosaje, happy birthday bro
Asante kwaniabaHappy birthday kwake .