Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Vipi mkuuKila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mkuuKila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa...
Acha unaaa😀😀😀Vipi mkuu
Si namsalimia ndugu yangu hapo 😀😀Acha unaaa😀😀😀
Sawa mkuuSi namsalimia ndugu yangu hapo 😀😀
Hiyo sawa vipi.Sawa mkuu
Muwe na busara ,msije hata ikafika wakati mkatukanana kwa lolote ,enjoy this time wont last fOrever
😀😀😀Hiyo sawa vipi.
Jamaa yako superbug nawe umekana.
Mwaka huu ni kukanana tu 😀😀
Haipo Tena ?Hongera sana. HBD kwake
Ila inabidi mfanye chap muoane km bado isije shetani akaingia hapo kati kati
Nilikuwa napenda sana hii Couple ya Smart na Mahondaw lkn ilisharest in peace
Uchawi huuMtaachana tu, maybe not today or tomorrow but mtaachana tu
Hata Smart aliambiwa hivi kiko wapi?
Describe hii ni kichit chat au.
sasa ningemwaga vipi pale public sema mods wenyewe walishtuka palikuwa panalipuka angehama mtu humu.. Wakafuta. 😀😀😀Mbona ukapotea hukunipa ubuyu na uzi ukafutwa
Ngoja nije pmsasa ningemwaga vipi pale public sema mods wenyewe walishtuka palikuwa panalipuka angehama mtu humu.. Wakafuta. 😀😀😀
Asante kwaniabaKila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa...
Dua la kuku hili mkuuHata Smart aliambiwa hivi kiko wapi?