Happy Birthday Kingsmann Wangu

Happy Birthday Kingsmann Wangu

E_f6mPdXIAsVaUp.jpeg
 
Mapenzi huwa ya kijinga sana. Huwa nikikumbuka huwa nacheka
Asante Mungu kwa kunikutanisha na wewe.
Simu muda wote, i love you kila saa. Sijui uniote
Siku hiyo sasa. Unatuma meseji inachukua mpk masaa 4 kujibiwa wakati ule ilikuwa dk 1 ishajibiwa.
Si ulisema unanipenda sana, shida nini?
Sikiliza
New couple by Nandy
Ha ha ha sawa mkuu
 
Back
Top Bottom