Happy birthday Kiwatengu

Happy birthday Kiwatengu

Lile vogue nilikuwa napima jinsi gani mkataba wetu utakuwa...kumbe kidogo tu wewe unakatisha mkataba eeeh! Liprado halipo, mbele ya caterpillar nitaanzaje kwa mfano...

Hehehe!!! Nicheke miye navyodanganywa miye....... promise me!!!
 
Nazidi ku underline mawazo yangu!! nisiongee sana coz naeza onekana 🙄 😛

Kiongozi, una akili sana. No wonder ukawa CC elite matchmaker...! Ushamsoma mtu hapa sio...! Good morning atoto!!
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, una akili sana. No wonder ukawa CC elite matchmaker...! Ushamsoma mtu hapa sio...! Good morning atoto!!

We underline tu ununderlined.

Nazidi ku underline mawazo yangu!! nisiongee sana coz naeza onekana 🙄 😛

Marahabaaaaaaaa!! Unaishi kwa matumaini eti???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom