Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeeh!!
Kona gani hiyo?
ha ha ha ha..leo unanifurahisha ujue!!
kwani shida ni nini? natamani tuhamie sehemu nyingine..
Naomba unisaidie huyu mtu amove on, maana kati ya wote alowahi wamendea mimi ndio kaniganda kweli, hataki niachia, kila mahali nikitia maguu naye huyu hapa, mpaka ananizibia na riziki zangu. Eli79 darling, plzzzzzz niko chini ya miguu yako, just move on plz,dont hold onto me coz this is a new era.

....but you ought to admit your feelings for me dear! By admitting your feelings you wont lose a penny, you know!
Hahahaaaa! The only feelings that i hv for you is pity my dear, there i hv admited, are you satisfied?
That's self denial. Well, gotcha.. When you need me, you know where to find me..! Don't take longer though, depression is a heck of a disease... teeeeh!
asante madam s!! hebu fahamiana na Mtoto halali na hela..
Hahahaaaaaa!! Duuuh kweli unanipenda aisee, hongera.
Bora mimi naliita panga kwa jina lake na sio kisu kikubwa, wewe upo kwenye self denial..
everlenk wajua mie siwezi kukuacha, tuna mkataba mimi na wewe. Yani ntaanzaje kwa mfano..lile vogue ilikuwa geresha tu kutest ma love yetu...
Kwa everlenk sichomoki mkuu...hakuna mfano asee...sijui nitumie lugha gani ili unielewe, isitoshe tulishaingia mkataba