Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.


Nadhani wote ni wazima wa afya, napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kwamba leo ni kumbukumbu ya siku yetu ya kuzaliwa mimi pamoja na twin wangu charminglady .
Kwa pamoja tuna mshukuru Mungu kwa yale yote aliyotufanyia mpaka kufikia sasa tukiwa na umri wa miaka ishirini kenda.. tunawashukuru pia wazazi wetu kwa kutulea mpaka sasa tunapokua katika hali ya upendo, amani na furaha.
Pia tunapenda kuwashuru nyinyi wana Jf wenzetu kwa maana nyinyi ni part ya furaha yetu maishani mwetu.asanten sana na mnaweza chukua nafasi hii kututakia kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa salama.
Happy birthday my twin charminglady. .
Hongereni.... Tubashangweka wapi
kan'tangaze umeninyang'anya twin wangu....haya bhana
Tubashangweka kwangu pale geita nyuma ya korokoroni my wiii
waoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! my cousin kumbe leo ndo ile special day
nilisahau kabisa mie jamani haya pokeenihzi zawadi wote wawili ila jioni nikija nitaleta midori
View attachment 173218
View attachment 173219
na function itabidi niifanyie kwangu nimeshandaa hifadhi kwa yule atakayechelewa kurudi kwake
Twin usijali, kan'tangaze ni twin wa kuzaliwa. Mie na wewe ni twin wa tabia!
So kila mtu ana uspecial wake!