Nadhani wote ni wazima wa afya, napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kwamba leo ni kumbukumbu ya siku yetu ya kuzaliwa mimi pamoja na twin wangu
charminglady .
Kwa pamoja tuna mshukuru Mungu kwa yale yote aliyotufanyia mpaka kufikia sasa tukiwa na umri wa miaka ishirini kenda.. tunawashukuru pia wazazi wetu kwa kutulea mpaka sasa tunapokua katika hali ya upendo, amani na furaha.
Pia tunapenda kuwashuru nyinyi wana Jf wenzetu kwa maana nyinyi ni part ya furaha yetu maishani mwetu.asanten sana na mnaweza chukua nafasi hii kututakia kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa salama.
Happy birthday my twin
charminglady. .