Happy birthday kwangu na kwa twin wangu charminglady

Happy birthday kwangu na kwa twin wangu charminglady

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,604
Reaction score
20,085
Nadhani wote ni wazima wa afya, napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kwamba leo ni kumbukumbu ya siku yetu ya kuzaliwa mimi pamoja na twin wangu charminglady .

Kwa pamoja tuna mshukuru Mungu kwa yale yote aliyotufanyia mpaka kufikia sasa tukiwa na umri wa miaka ishirini kenda.. tunawashukuru pia wazazi wetu kwa kutulea mpaka sasa tunapokua katika hali ya upendo, amani na furaha.

Pia tunapenda kuwashuru nyinyi wana Jf wenzetu kwa maana nyinyi ni part ya furaha yetu maishani mwetu.asanten sana na mnaweza chukua nafasi hii kututakia kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa salama.

Happy birthday my twin charminglady. .
 
Happy birthday Mungu awape maisha marefu na awalinde kuona mazuri kwenye maisha yenu happybirthday
 
Happy besdei tu yu...

Ishirini kenda kama skosei ni ishirini na tisa. Kwa tafsiri zenu MMU bado mwaka mmoja tu mvuke "umri halali wa kuolewa", mmejipangaje?
 
happy birthday watoto wazuri... may you live to blow thousand more candles lol!!!!
nasubiri invitation ya party, tena ya VIP... charminglady nipo mwanza kwa ya hii kitu
 
Last edited by a moderator:
Happy besdei tu yu...

Ishirini kenda kama skosei ni ishirini na tisa. Kwa tafsiri zenu MMU bado mwaka mmoja tu mvuke "umri halali wa kuolewa", mmejipangaje?

Ha ha ha ha. Ishirini kenda yaweza kuwa 21, 24, 25, 27..asante Kimilidzo
 
Last edited by a moderator:
il_340x270.369869180_n5mu.jpg


Happy birthday to us....
 
Zifuatazo ni picha za matukio ya udogo wetu...

Hapa tulikuwa na 1 week with our lovely mum...

twins2.jpg
 
Miaka mitatu tulianza kuwa visista du... kan'tangaze alikuwa mchokozi huyo. Hebu muone alikuwa ananinyang'anya mdoli wangu....

f46c79417c2bf0e47d27f32d5cd88570.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom