Happy birthday Le-mutuz

Huyu si amezaliwa 1956, mbona mnampunguzia umri?
 
Ifike kipindi birthday celebration zi-expire hasa miaka 55
 
Alikuwa akisema yeye ni mdogo kuliko mhe. Mbowe ingawa wamekuwa marafiki tangu zamani lakini naona ni agemate.
 
Nafwazzzz....
U know I'm super humbled.... 55 gademu years,kama huna heshima huwezi fika huku.Asante sir God.
Naimajini majigambo ya le mutuz baada ya kuexist kwa five and half good decades.
Happy birth day akili kubwaz
 
Aisee.....!! 55 Fulani amazing! Hiyo Ni age yake au experience katika social media???
 
haha haaa hata mm nmeisikia hiyo somewhere,halafu mwili wa Lemutuz unaweza ukadhani wakina Mengi na Bakhresa wanasubiri sana
 
haha haaa hata mm nmeisikia hiyo somewhere,halafu mwili wa Lemutuz unaweza ukadhani wakina Mengi na Bakhresa wanasubiri sana
Hahaaa naskia mama ananoti mbebezzz hata hela ya chai ya rangi na andazii haachi.....maza akamtimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…