Happy birthday Le-mutuz

Happy birthday Le-mutuz

Sijawahi kujua ni kwa nini Lemutuz anachukiwa humu.
 
happy birthday remutuz..... mzee wa manane baby down town
 
Eti lembebezz ni mdananda alivyotoka usa baby kuna mama anaduka la fenicha hapo mitaa y namanga.....alimlea kma mwez akijua jamaa yuko njema na jamaa kila cku anakula haachi hata kodi y meza.....mama ikijua jina la malecela ni kubwa le mbebez yuko loaded kumbe karudi na 500$.....wabongo ni kwere kwa kupekua
 
Hivi ulijuana nae US au hapa hapa JF au TZ?

USA baby
upload_2016-6-26_16-21-43.png
upload_2016-6-26_16-21-44.png
upload_2016-6-26_16-21-45.png
 
Back
Top Bottom