Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
ndio nakwambia beb mchuzi unawekwa bizar na ndim kibao maji pwaa samaki unafanya kumtafta na upawa kwenye sufuria hahahhaa sikudanganyi s wajua natokea hukome sipoooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio nakwambia beb mchuzi unawekwa bizar na ndim kibao maji pwaa samaki unafanya kumtafta na upawa kwenye sufuria hahahhaa sikudanganyi s wajua natokea hukome sipoooooo
marahaba mdogo wangualways babe
shkamoo
prime minister??
Nafurahi pia juu yako sweetbabe,.shukran mam nimefrah
Hapana dada siondoki nipo pamoja na nyie bado, nimemwambia shemeji hivyo iwe kama namshajiisha aendelee au tuendelee kufurahia sote siku yako hii maalumunatukimbia kaka?
aya loveNafurahi pia juu yako sweetbabe,.
Marhaba...Heri ya siku ya kuzaliwa.shikamoo
aya kaka japo siku ishaisha hiiHapana dada siondoki nipo pamoja na nyie bado, nimemwambia shemeji hivyo iwe kama namshajiisha aendelee au tuendelee kufurahia sote siku yako hii maalum
teh!! Asante nilijua usingeitika hiyo marahabaMarhaba...Heri ya siku ya kuzaliwa.
amekuaga anataka kulala??kwa heshima yako bwana shemeji nikutakie usiku mwema, pole kwa mihangaiko
hahahaha asanteni msimamizi wa shughuli zote za serikali bungeni
Angali ningejua wanijaribu nisingeitika.... wanijaribu?teh!! Asante nilijua usingeitika hiyo marahaba
thank youHappy birthday
hapana sina maana hiyo sema skujiamini kama ungeitika naanzaje kukujaribu?Angali ningejua wanijaribu nisingeitika.... wanijaribu?