Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha ninalo na darasa ya kubeti.la kidhungu, inaonekana una madarasa mengi
Ukishaipata mdogo wangu niitage na mie. Maana hii ni tafrani. 😂😂😂😂😂Ngoja nitafute Dictionary Oxford International of London kwanza.
Hii lugha ilikuja kwa ndege huku, wakoromije tunapata tabu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usijali Dada yangu, ngoja niitafute hapaUkishaipata mdogo wangu niitage na mie. Maana hii ni tafrani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaaaa.Usijali Dada yangu, ngoja niitafute hapa
Happy Birthday to the coolest girl forever! You deserve all the happiness and love. Many more happy returns of the day.
Itabidi. Maana naweza kufa sijafunguliwaga uzi huku jeiefu.Naomba nitumie tarehe yako ya kuzaliwa na wewe nikuandikie Uzi.
Itabidi. Maana naweza kufa sijafunguliwaga uzi huku jeiefu.
hahahaa asante mnoNgoja niweke kambi hapa nianze kutoa like zangu
Long live ze queen mwaaaahhh
amesema anaonawivu??? UnamsingiziaWivu wa nini? Mbona nawe unajimwaya
hahahhaa huachi??Ngoja nitafute Dictionary Oxford International of London kwanza.
Hii lugha ilikuja kwa ndege huku, wakoromije tunapata tabu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]