Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Wala hujakosea mtu anaishi na mkewe/mmewe hata siku moja wala kuikumbuka siku ya mwenzaMachawa mmeanza kudemka, ukute tangu uzaliwe hujawahi kumuwish happy birthday mama yako Mzazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hujakosea mtu anaishi na mkewe/mmewe hata siku moja wala kuikumbuka siku ya mwenzaMachawa mmeanza kudemka, ukute tangu uzaliwe hujawahi kumuwish happy birthday mama yako Mzazi.
Mungu amchukue tu .....inatosha.Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan alizaliwa siku ya JUMATANO ya Tarehe 27 januari.kwa hiyo kesho anakwenda kutimiza umri wa miaka 64.
Upuuzi mtupu, wajinga ndio waliwao, fursa za clouds media hizo kutunisha utajili wa Joe Kusaga kupitia mapimbi.Kuna nn kwan huko?
SwadaktaaaNaunga mkono hoja
Kwa wakazi wa dar es salaam shuguli itaanzia pale the wave mida ya saa tano asubuhi na baada ya hapo tutakuwa tunaelekea MBUDYA.
Kwa kweli kama kijana unahitaji kupata koneksheni kukutana na watu tofauti si ya kukosa hii.
Mdogo wangu spencer minja atakuwepo kutoa maelekezo mawasiliano unaweza kumfikia kwa mitandao yake ya kijamii.
Hongera mheshimiwa raisi kwa kuongeza mwaka juu ya uso wa dunia.❤️