Happy Birthday Madamu Samia Suluhu Hasani

Machawa mmeanza kudemka, ukute tangu uzaliwe hujawahi kumuwish happy birthday mama yako Mzazi.
Wala hujakosea mtu anaishi na mkewe/mmewe hata siku moja wala kuikumbuka siku ya mwenza
 
Mnapata wapi nguvu y kufurahia huku taifa likiwa GIZANI?. Hakika kila cku nasema huyu KIZIMKAZI Hana muda na watanganyika.
 
Hatuji ng'o, bora tukose hizo koneksheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…