Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Happy born day rafiki
Najua umewaingiza chaka wengi na kwa hisia kali na za ajabu kabisa wakakuamini asilimia [emoji817] na kujikuta wanaumia sana kila mtu kivyake!
Una sababu zako maalum za kufanya hivyo! Je ilikuwa na stress au uliamua tuu..? Manake somehow ime damage image na reputation yako hapa jamvini
Anyway it was your birthday! Happy birthday mahondaw ..OLDER THAN YESTERDAY..! YOUNGER THAN TOMORROW