Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu!Aaah basi sawa, Happy Birthday kwake..
Happy birthday to her.Mungu azidi kumlinda na kumuepushia mabaya.Above all mfikie malengo yenu.
Sio siri nasoma huku natabasamu ujue!nawapenda sana sana sanaa!Mungu awafanye mwili mmoja mzeek pamoja kama Amitabh Bacchan na Jaya Bacchan!!!au kama Anil Kapor na Sunita Kapoor,Au Rish Kapoor na Neetu Singh!
To my dear mahondawa uwe mpenzi mwema na mwenye hekima,busara,uvumilivu.Mke mwema ni yule mjenzi wa nyumba hata ukikuta ufa unajenga na usiwe kivuruge!
Mungu awabariki sanaa.
Happybrthday to You my wiii!Uwe na furaha siku zote!na amani kabisa ya moyo!
Umpende akupende kama Ajay na Kajol[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!
[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7]the best couple ya jf kwa sasa ni nyinyi mawe na vinyesi mlivyopakwa mmefanya ukuta wa kujenga ngome ya mapenzi yenu!
May Almighty grant u happily ever after!
Birthday njema kwake..
heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa shemeji...[emoji16]
God bless yoo all...
Thank you my wii. . To have sweet lovely and beautiful wii For sure am blessed indeed .. much love an kissess sweetwii stay blessed in law.