stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
katoto kazuri atakuwishi ana undugu na Unique Flower kwa HIO utachagua WeweMimi mbona siku yangu ya kuzaliwa sikumbukwi? Au ubaguzi? 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katoto kazuri atakuwishi ana undugu na Unique Flower kwa HIO utachagua WeweMimi mbona siku yangu ya kuzaliwa sikumbukwi? Au ubaguzi? 😂😂😂
Sasa ushamba wetu ni nini? Kama yeye kaamuwa kujifanya ni watu wawili, sisi tunakuwaje washamba?Acheni ushamba huyo ni mtu mmoja.
Sijali..!Hii imeandikwa na mwalimu wa lugha, siyo smart mwenyewe!
😀 😀 😀 hizi sasa unatafuta nongwaMbona huyo Mahondaw haongei?
Ya kwako lini🤸Heri ya kuzaliwa kwa manywele...
Lucas Mwashambwa siku hizi hanipendi kapata koloni jipyaLukasi atakuwekea uzi kama hivi
Ya kwako lini🤸
Lucas Mwashambwa siku hizi hanipendi kapata koloni jipya
Bado nakupenda sana ephen wangu lazizi na Waridi wa Moyo wangu. Wewe ndiye kiota cha Moyo wangu. Wewe ndiye chemchemi wa furaha yangu. ephen nifanye nini na kusema nini ili ujuwe nakupendaa.au nikupe moyo wangu uwe unaungalia muda wote kuwa unawaza na kukuwazia nini muda wote.Lucas Mwashambwa siku hizi hanipendi kapata koloni jipya
☺️Bado nakupenda sana ephen wangu lazizi na Waridi wa Moyo wangu. Wewe ndiye kiota cha Moyo wangu. Wewe ndiye chemchemi wa furaha yangu. ephen nifanye nini na kusema nini ili ujuwe nakupendaa.au nikupe moyo wangu uwe unaungalia muda wote kuwa unawaza na kukuwazia nini muda wote.
bamdogo jamani naanzaje kuumia kwa mahusiano ya watu jamani😂😂Mamdogo mbona kama umeumia..!!??
Nakupendaa Sanaa ephen nakupendaa Sanaa ephen nakupendaa Sanaa ephen.