Happy Birthday Mahondaw

Happy Birthday Mahondaw

Smart911 my love,
Thank you for the lovely birthday surprises. Thank you for making my birthday so special with your kind words and message and gifts.
Your birthday message warmed my heart
Santo sana kwa gifts, laughs, jokes, and everything .You are so amazing babe be blessed swirrrrrrryyyyy!💕💕💕💕!
 
Santo sana kwa gifts, laughs, jokes, and everything .You are so amazing babe be blessed swirrrrrrryyyyy![emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]!
Maneno matamu hivi mkiachana kuna uchawi
 
Kwani Lucas Mwashambwa mwenyewe anasemaje
Nawaambia wote wenye wivu na kupendana kwetu basi wanywe maji ya baridi ,kwa sababu mimi na wewe tumeunganishwa na upendo kutoka ndani ya sakafu ya mioyo yetu.hata wanasiasa wabadilike na kuja wengine lakini mimi na wewe tutaendelea kupendana na mioyo yetu kuunganishwa na kuchanua kwa furaha na mahaba utafikiri maua ya masika Wakati wa mvua.
 
Smart911 my love,
Thank you for the lovely birthday surprises. Thank you for making my birthday so special with your kind words and message and gifts.
Your birthday message warmed my heart
Santo sana kwa gifts, laughs, jokes, and everything .You are so amazing babe be blessed swirrrrrrryyyyy!💕💕💕💕!
Naona wote mmeunganishwa kwa kizungu. Bila shaka humo ndani itakuwa kama darasa la international school
 
Nawaambia wote wenye wivu na kupendana kwetu basi wanywe maji ya baridi ,kwa sababu mimi na wewe tumeunganishwa na upendo kutoka ndani ya sakafu ya mioyo yetu.hata wanasiasa wabadilike na kuja wengine lakini mimi na wewe tutaendelea kupendana na mioyo yetu kuunganishwa na kuchanua kwa furaha na mahaba utafikiri maua ya masika Wakati wa mvua.
Mi naamini kuna mwamba akipita na kusoma hapa anang'ata meno kwa hasira na kukosa hamu ta kula. Lucas Lucas🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom