Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Zari ana moyo nampongeza,,mi ningekua zari nahisi ndo ungekua mwsho wetu,,,mana kuna kicheat afu kuna dharau,,sasa d alikua anafanya dharau,,unaleta m/ ke ndani kwako mnajiaaachia
heh heee who told you to sey zat
hehe heee
 
Povu lote hili my dear imekuuma ee meza wembe. I dont care. Malaya ni malaya tu bado kutuonyesha video akipatiwa mtoto. Zile picha hazitoshi
 
Umenena vyema dadangu mwanamke unamuita mwanamke mwenzio malaya mmmh kila mbuzi anakula usawa wa kamba yake pale kwa diamond wamuacha amicha na Maisha yake
dah mdada wa watu kawakaa kooni

hakuna mwanaume wa kijinga kuchapiwa na kwenda kuzaa nillan na Ivan Leo eti anapendwa ?????ahaaa anapendwa kwa maneno ahaaaa diamond ni mjanja kwenye interview eti anampenda zari yupo tiyari kwenda sauz na magoti ahaaa nikawaza siku ile anamkula hamisa kwa nn akupanda ndege masaa 3 akaenda sauzi??? na tangu mtoto azaliwe amelala kwa hamisa Mara mbili mpaka kucha duh
 
Huyu ndio mwanaume wa kweli anaeweza kumliwaza mwanamke na akamuelewa safi sana Dai usiyumbe umebahatika kumpata mwanamke wa kweli Strong women Hao vinuka mkojo waachie akina Kibakuli
Eti strong women...aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…