ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
mwandikikie meseji diamond mkuu.....ila mondi anatukana! mfate dmNipeni number ya zaki nimuwish happy birthday
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwandikikie meseji diamond mkuu.....ila mondi anatukana! mfate dmNipeni number ya zaki nimuwish happy birthday
hahahahahaZari ana moyo nampongeza,,mi ningekua zari nahisi ndo ungekua mwsho wetu,,,mana kuna kicheat afu kuna dharau,,sasa d alikua anafanya dharau,,unaleta m/ ke ndani kwako mnajiaaachia
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] sanaaa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
heh heee who told you to sey zatZari ana moyo nampongeza,,mi ningekua zari nahisi ndo ungekua mwsho wetu,,,mana kuna kicheat afu kuna dharau,,sasa d alikua anafanya dharau,,unaleta m/ ke ndani kwako mnajiaaachia
hata miminimekosaNimeview nikakosa cha kureply nikatoka imebidi nirudi nije niwe wa kwanza kureply.
mmmh numbisa dia unatumia nguvu nyingi kumtukana hamisa ila diamond aliwaumbua.
kama hamisa Malaya si angetumia kondomu?? bora unyamaze tena kakili kwenye media??? tulia Dada ukute hata mda huu yupo kwa hamisa
huwezi kumuita MTU Malaya as if umamshikia paja umeanza kujishushia heshima
kama ni swala la umalaya basi zari ni funga kazi ogopa mwanamke una watoto tens wakubwa unamuacha Mme ndani , anaenda kulala na mdogo wake, imagine watoto wa kiume wakubwa vile??????ni malaya wa kiwango cha huu ajitafakali. na wewe tumia akili kuwaza.
Angekuwa anajielewa asingekubali kurekodiwa akijichua na dildo hapo tu ndo huwa namshusha grade......na mond ana moyo kwa kweli, na watt watakuwa wataukuta huwo uchafu wa mama yao.Kumbe nawe wa kule eee[emoji23] [emoji23]
dah mdada wa watu kawakaa kooniUmenena vyema dadangu mwanamke unamuita mwanamke mwenzio malaya mmmh kila mbuzi anakula usawa wa kamba yake pale kwa diamond wamuacha amicha na Maisha yake
Hahaha ikikuuma meza WembeNo kuna mke south,malaya bongo
Mkuu wanakula wapi bata??Hahahahaa hadi rahaa .. watu wanahangaika mitandaoni wanataka kuusikia zari anamuacha mondi kumbeee wapo zao wanakula bata
Hata mi nashindwa kuelewa!Huyu ke anaabudiwa sana humu, sijui ni pesa inawachanganya watu!
Eti strong women...aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ndio mwanaume wa kweli anaeweza kumliwaza mwanamke na akamuelewa safi sana Dai usiyumbe umebahatika kumpata mwanamke wa kweli Strong women Hao vinuka mkojo waachie akina Kibakuli
Hahaha ikikuuma meza Wembe
Umemaliza sina cha kuongeza, binafsi siwezi kukesha kumkweza mtu hapa, bali napambana na hali yanguHata mi nashindwa kuelewa!
Kujipendekeza kwingi / shobo kibao...
Au njaa kali?