Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Wewe inamaana hii kampeni ya uzalendo kwanza haijakufikia ?hebu tuwe wazalendo jamani kwa kupenda vya nyumbani kwanza hahahaha zari simchukii tatizo ni uzalendo kwanzaHamissa fungu la nyanya tu. Masikini wee... Jamaa atafunika tu.