Happy birthday Mange Kimambi

Happy birthday Mange Kimambi

Hongera ya Kuzaliwa Mange!
Wewe ndio sauti ya watanzania kwa sasa. Pale vyama viliponyamazishwa umetumia nafasi yako kuongelea wengi. Pale vyama vilipokosea umetumia nafasi yako kuvikaripia. Kwa sasa wewe ndio mkombozi, sauti mbadala wa ile ya serekali. Umeifanya vyema kazi ya kuisimamia serekali kwa kuelimisha, kuibua na kuchunguza mienendo ya serekali. Twaweza tusikubaliane kila jambo ila vita unaipiga vema. Pole kwa kuwa uhamishoni ila najua iko siku historia itakukumbuka.
Siasa tunazoshuhudia kwako ni kama mpira wa Pele. Unafanya maadui na wapenzi wako kutaka kujua nini unachokuja nacho. Maadui zako wanakupenda sema hawawezi kukiri tu. Nakutakia kila la kheri kwenye maisha yako. Mungu akubariki
 
Hivi huyu Mange kitambi huwa ni Nani hasa.. Toka nianze kumskia sijui kipi anafanya mpaka awe maarufu jf.. Na je humu anatumia ID Gani.. Kama Hana ID humu ndani kwanini tumpongeze
Inakuuma eeeh pole sana mwana CCM
 
Nakupongeza Mange Kimambi hongera wewe ni jembe Yaani makufuli anakutamani akutungue lakini Ashindwe kwa jina la Yesu
 
Rraaah... Jeshi la mtu mmojaa.. [HASHTAG]#MangELemutuzZ[/HASHTAG]!!
 
Back
Top Bottom