Happy birthday Mange Kimambi

Happy birthday Mange Kimambi

wakati wa uchaguzi mange alikuwa ccm,wakati wa sakata la madawa ya kulevya ambalo limeanzishwa na makonda ameanza kutapatapa,mara achome kadi ya ccm mara amehania chama anachojua.je huyu ni popo?mpaka sasa mm amenichanganya ana masirahi gani wapi?
 
Aaaah lol
 
Mmmh kaka mange kachoma kadi yake ya ccm kabla hata makonda hajaanza kuropoka kuhusu madawa......Hata kama unamchukia mtu usimsingizie
 
Hivi huyu Mange kitambi huwa ni Nani hasa.. Toka nianze kumskia sijui kipi anafanya mpaka awe maarufu jf.. Na je humu anatumia ID Gani.. Kama Hana ID humu ndani kwanini tumpongeze
Kuna mtu maarufu humu jf na mkubwa tu mkoani kwake, alijipa Kazi ya uaskari akadhaminiwa tour na kampuni fulani kwenda France lkn akaamua kupita USA ili amkamate Mange, na kwa vile wewe uko kwenye list ya wanaolipwa na MTU huyo kumsafisha muulize atakwambia Mange ni nani!?
 
Hbd mange.... Najifunza vitu vingi kupitia ww.....!!!
 
Wewe unapotea Kwa kukosa maarifa
 
Namkubali sana huyu dada,paul na babake wanamjua vizuri sana kama nyie wakata viuno wa lumumba hamumjui
Nyinyi ni mifano ya watu waliopotea Kwa kukosa maarifa.. Hahaha mnamwamini Mange halafu mna jinsia ya kiume.. Acheni uzembe.. Amkeni.fikirieni hata kidogoo tu
Hbd mange.... Najifunza vitu vingi kupitia ww.....!!!

Wanafki wa JF be like "Who is mange?"......Wakati insta kaweka hadi post notification ON
 
Warumi tupostie kale kapicha ka Mange alikoweka Wema kwenye post yake ndo kapicha kazuri ka Mange wetu
 
Happy birthday mange. Nimevulisha kofia faiza Ally. Kumpost mange. Hongera faiza. Bado Rachel temu na Emma
 
Happy birthday Mange, Mungu akujalie maisha marefu
 
Mi sielewi kitu ngoja nirudi jukwaa la kuwakaribisha wageni kule.
 
Back
Top Bottom