suleiman omary
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 257
- 49
wakati wa uchaguzi mange alikuwa ccm,wakati wa sakata la madawa ya kulevya ambalo limeanzishwa na makonda ameanza kutapatapa,mara achome kadi ya ccm mara amehania chama anachojua.je huyu ni popo?mpaka sasa mm amenichanganya ana masirahi gani wapi?