Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtag hapo atakuelewa[emoji23][emoji23]
Wote wabahili hakuna mhongaji hata mmoja hapoWala usiumize kichwa we mchagulie mwenye hela nyingi na mhongaji tukuka[emoji40]
Aisee, ngoja ninyamaze nikiongeza neno ntaonekana mchochezi.Wote wabahili hakuna mhongaji hata mmoja hapo
Vipi bibie hiyo keki mbona hamtupi lokesheni inakatwa wapi?Wote wabahili hakuna mhongaji hata mmoja hapo
Nipe namba yako nimrushie akurushie huko ya vocha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi hawezi kunielewa, wewe naona angalau anakuelewa.
Sitaki vichanga vyangu visumbuliwe na makelele ya mjini party itafanyikia Irente View Cliff - Lushoto a.k.a half London[emoji2] [emoji2]
Nakujua ulivyo na upendo huwa ukiwekewa machaguo inakua ngumu.
Hivi mbona hutuambii wapi keki ya mapacha itakatwa?
We mwambie anunue vocha akwangue then anitumie hizo namba sirini, itakua imefika.Nipe namba yako nimrushie akurushie huko ya vocha
Aisee, huu uchoyo ni wa kiwango cha juu, itabidi tukaushindanishe na uchoyo mwingine huko Olimpiki.Sitaki vichanga vyangu visumbuliwe na makelele ya mjini party itafanyikia Irente View Cliff - Lushoto a.k.a half London
Teh hapa stori tu kula kwenuVipi bibie hiyo keki mbona hamtupi lokesheni inakatwa wapi?
Au ndo ile hapa story tu, party kwenu.
Walah tena!
[emoji57] [emoji57]Unapenda dezo dezo eeeh, wee bwana yatakushinda!
Hivi akina nani waloimba huu wimbo?
Aisee, Thad ashaniharibia mtu, huu uchoyo umeanza lini?Teh hapa stori tu kula kwenu