Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mbona anafanana na antu mandoza mtangazaji wa tatu mzuka au ni weweSio mimi, huyo ni mjukuu wangu wa mwisho[emoji23]
Vipi umempenda?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Pamoja na yote naamini ujumbe umefika [emoji23][emoji23]
Nilisikia mahala!Kumbe huyu jamaa ni mzee wa miamala eeeh!?[emoji848][emoji39]
Hayo kula wewe na Khantwe, hapa namsubiri PRONDO najua kuna ofa kabalimi kamoja kamoja itapita.Usijali tukirudi mjini nitakuletea ma-apple pori[emoji6]
Mwulize Nleterewa Nganengo ananifahamu nje ndani[emoji6]Mbona anafanana na antu mandoza mtangazaji wa tatu mzuka au ni wewe
Thanks brother. Tarehe nzuri sana hizi kila mtu anani-offer wine!Happy birthday to you guys, tarehe zinaruhusu kabisa.
Kama nakuona vile RRONDO miamala!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Hizi ndio juhudi zako ili ubaki peke yako?Wote wabahili hakuna mhongaji hata mmoja hapo
Thanks CFOHappy Birthday to you Beautiful gal Khantwe and Handsome boy Rrondo, Mungu na azidi kuwajalia kila lililojema maishani.
Mimi nakufahamu nje tu, huko ndani mwambie mwenyewe.Mwulize Nleterewa Nganengo ananifahamu nje ndani[emoji6]
Aisee....hata bd yangu unanipiga mzinga?!!Naomba usinisahau kwenye ufalme wa offer za wine[emoji39]
Sawa nimekuelewa.Nishakwambia yatakushinda[emoji23]
Acha uchochezi.Nilisikia mahala!