Happy birthday mapacha wa JF RRONDO, Khantwe & MO11

Happy birthday mapacha wa JF RRONDO, Khantwe & MO11

nimekuwa nyuma kama mkia wa kondoo ila bora nimewahi

happy birthday you two.

Mungu awape miaka mingi ya furaha na amani.

Pesa ni matokeo ila amani ya kweli ndo mpango mzima.
 
nimekuwa nyuma kama mkia wa kondoo ila bora nimewahi

happy birthday you two.

Mungu awape miaka mingi ya furaha na amani.

Pesa ni matokeo ila amani ya kweli ndo mpango mzima.
Ya kwangu itakuwa kesho yake kesho yake ya kesho ujiandae kuniwish maana naona una maneno yenye baraka ndani yake[emoji7]
 
Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kwenu

Kumbe Thad kizungu unakijua eeh?
Asante. Anakijua wapi amekopi na kupesti ili atuimpress
Thubutuu kizungu akijulie wapi, mwambie anirudishie diary yangu aliyoniibia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inamaana Thad hajui kizungu?
Au hii ni nguvu ya balimi?
Nimewaingiza kwenye list ya wabaya wangu, haiwezekani mnivue nguo hadharani kwenye hadhara hii iliyokuja kusherehekea siku hii muhimu[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom