Happy Birthday Maserati

teh teh, tutakuwa wangapi Saint?
 
teh teh, tutakuwa wangapi Saint?
Frankile spiking.
Utakuwa mmoja, value yako haiwezi kufananishwa na mwingine. I ment thamani yako.
Kwa hio nikisema mpo wawili. Hapo nitakuwa nakukosea heshima.
Hence, I say you will be alone.
Kuna watu walinishauri eti nifanye threesome siku moja.
Nikawaambia wote wakalete bakora niwacharaze fimbo.
Bse msichana ana respect yake bwana. Uongo??
Wanaangalia ma video clip huko porn hub. Afu wanadhani ni rahisi tu kwenye real life bila kufanya damage.
Thats why I maintain respect to any lady outta there.
 
hahahahahah, so mimi will not be in that threesome incase another ushauri will come up again

just say it loud pls
 
Nimeona.
I can feel it. I can see it.
Hujashtuka naanzwa kutokwa na mistari automatically. Japo najizuia.
Ila sitaendeleza mistari. Nitakufanya ulale huku unatabasamu.
hahahahahah hiyo mistari hujamention hela hata haijanifanya nitabasamu.

wewe niwekee tu mhamala wa mpesa uone
 
hahahahahah, so mimi will not be in that threesome incase another ushauri will come up again

just say it loud pls
Threesome haitokuwepo. Na siitaki.
Ndio maana wale walionishauri nilitaka kuwacharaza bakora kama Ndungai alivyotembeza bakora
 
hahahahahah hiyo mistari hujamention hela hata haijanifanya nitabasamu.

wewe niwekee tu mhamala wa mpesa uone
Anhaaaa kumbe. Yani taratibu naanza kukujua.
Stan atalia soon.
 
hahahahahah, so mimi will not be in that threesome incase another ushauri will come up again

just say it loud pls
Au wewe mwenzangu unaitamani sana? I mean waitaka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…