Happy Birthday Msanii🌷🌼🌻, lakini unanikera aisee

Enjoy your day, kama timu yako ni Yanga basi tushinde goli 2 kama tarehe yako ya kuzaliwa.

Kama ni Simba basi mfungwe 2 🤣🤣🤣
Kutembea na msuli bila nguo ndani ni mashokolo mageni walah?
Nawaombea watani Yanga washinde.

Naiombea Simba ishinde hadi iboe
 
HBD MZEE
 
Happy birthday, Mwenyekiti , uishi maisha mema, wewe si moderators tu hata sie wengine tutaandika TANZIA na ukawa UZI wa kwanza JF kwa Sie wengine ,

Navuka maji nakuja PWEZA RESORT utakua wapi tugonge Glasses kdg
 
Happy birthday to you brother
 
Happy birthday chief,tumezaliwa siku moja,ila mimi sijawahi kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa,maana sijawahi injoi kuja kwangu duniani,toka mdogo nilipoanza kijitambua,ni mateso tu,ya akili na mwili.Sijui kama ntakuja kusherehekea,may be ntamaliza miaka yangu ya hapa duniani hivihivi au kwa mateso zaidi ya niliyopitia na ninayopitia.God's blessings be upon you and your descendants.
 
Heri ya kuzaliwa msanii, uendelee kuwa na busara hivyo hivyo.

Swali: hivi huwa unakasirika kweli? Ishi sana tajiri huna baya 🤣 (kwa sauti ya chawa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…