Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Hahahah kekule
 
Aliwahi sana kustaafu ,uchezaji wake ni wa ajabu skills nzito nzito ,na dribbling style za kimiujiza .Kuna chenga moja anakua kama anaenda kulia lakini anaupigia mpira kushoto .[emoji1739][emoji460]
GLU [emoji769]
Kuna chenga moja alimpiga Dunga, bila kutumia slow motion huwezi amini kilichotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diego alinifanya niupende mpira,,hapajatokea mwingine kwa miaka mingi sanaa mpaka alipotokea kiumbe matata kuwai kutokea katika uso wa dunia ni "La purga" mabeki wa 4 adi 6 anawapita na kufunga,,,,gaucho akasomee kwa waajentina awa.


Leonel Andres Cuccitini na Diego Armando Maradona πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿
 
Cc BlackPanther
 
Kumbe nawe ni shabiki. Nilidhani mfunga Viatu vya Ayatollah
 
Acha kufananisha vijana wa vijiweni na vyeo vya heshima kama hivyo. Kama wewe huna dini usitake kugusa imani za wenzako kwa mizaha kama hii.
Lugha ziko nyingi za kuwasilisha unachokiamini ni kizuri lakini sio kwa staili hii.
Wenye dini zenu.
 
Haya tumekusikia
Kakojoe ulale sasa, sawa toto!


Akili za wabongo bwana πŸ˜€ swali linajibiwa kwa hoja kama huna facts kaa pending...sasa wewe unaleta utoto tena!. Hvi unaamini gaucho ni bora zaidi ya Messi, Maradona, Pele, Alfredo de stefano, Puskas, Zidane na Cr7!! umetumia kigezo kipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…